Tanzania yashika nafasi ya 12 Afrika viwango vya FIFA
Tanzania imeng’ara katika soka la ufukweni baada ya Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) kuitangaza ni ya 12 katika viwango vya mchezo huo katika Bara la Afrika.
Makao makuu ya Shirikisho la soka Tanzania (TFF)
Kwa mujibu wa taarifa hiyo ya Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA), Tanzania inashika nafasi ya 86 duniani.
Viwango hivyo vilivyotangazwa Novemba 3, 2017, nchi ambazo ziko mbele ya Tanzania ni Senegal, Nigeria, Misri, Morocco, Madagascar, Ivory Coast, Ghana, Libya, Msumbiji, Cape Verde na Kenya.
Post a Comment