Header Ads

''PRISMATICS_CLASS'' Nakukaribisha weekend vibe hii 106.1 fm


Mambo vipi.... i hope mko poa sana me naitwa prismatics_class moja kati ya presenter wa mwambao fm radio nawakilisha kitaa cha cha amka na mwambao pamoja na weekend vibe ebhana nakualika sana kusikiliza show kubwa mjini weekend hii hapa ya jumaa pili kuanzia mida ya saa 04:00-06:30 za jioni xo kama ni mpenda burudani hii si ya kukosa mazee code yako ni ileile ya 106.1 lakini bila kusahau nitakuwa na official DJ Mwambao fm anafahamika kama DJ DINNAH.
Pia  unaweza kunifuata INSTAGRAM@ prismatics_class
FACEBOOK...Prismatics Class
TWITTER@Hamisi hemedi


No comments