Header Ads

THE FRESH TV ONLINE NDIO HABARI YA MJINI


ladie and gentlemen nakukaribisha katika tv ya mtandaoni inayofanya vizuri kwa sasa ambayo inafahamika kama THE FRESH TV ONLINE ( TWENDE NAO SAWA ) moja kati ya TV inayotoa habari mbalimbali za kijamii, siasa, burudani, pamoja na michezo 

Kupitia kwa  C.O wa THE FRESH TV ONLINE Saidy Shabani kwa jina maarufu kama Baba daily 'SUPER STAR'  ambae pia mi mtangazaji wa mwambao fm radio 106.1 kupitia kipindi  cha Bongo bab kubwa pamoja na jukwaa la vijana amepiga story na Hamisihemedi.com kuhusu mipango ya badae ya THE FRESH TV ONLINE na kusema kwamba tv hiyo imekuwa ma subscribers wengi mpaka sasa.

''Ninachowaomba watazamaji wa the fresh tv online wawe na imani na tv yao kwa kuwa tumekuwa tukiwafahamisha watazamaji wetu habari mbalimbali zinazo tokea Tanzania na nje ya nchi pia wasisahau ku subsribe the fresh tv online ili kila taarifa inayotoka iweze kuwafikia kwa muda maalum'' alisema Baba Daily super.

NA Hamisi Hemedi

No comments