Header Ads

KOCHA MPYA ANAYECHUKUA NAFASI YA MAYANJA AMEANZA SAFARI YA DAR ES SALAAM


Kocha Masoud Juma amendoka mjini Kigali kwenda Dar es Salaam, Tanzania kuanza kazi yake mpya.

Masoud kocha wa zamani wa Rayon Sports anakuja nchini kuchukua nafasi ya aliyekuwa Kocha Msaidizi wa Simba, Jackson Mayanga ambaye kibarua chake kimeota nyasi.

No comments