Header Ads

Juventus moto mwingine


Share this
  • 0
    Shares

Juventus wameibuka katika Ligi ya Mabingwa Ulaya na kuichapa Sporting Lisbon kwa mabao 2-1,Mabao ya Juventus yamefungwa na Maralem Pijanic na Mario Mandzukic huku lile la Sporting likifungwa na Alex Sandro aliyejifunga.
Sandro (2nd right) can't help but divert the ball past Buffon (centre) and into the net
Matokeo hayo yameifanya klabu hiyo kuibuka katika mlolongo wa matokeo mabaya baada ya wikiendi iliyopita kupoteza katika uwanja wa nyumbani dhidi ya Lazio kwa mabao 2-1 huku Paul Dybala akikosa penati katika dakika za mwisho.
Juventus goalkeeper saves Martins effort into the path of the onrushing SandroGonzalo Higuain, Andrea Barzagli, Paulo Dybala, Mandzukic and  Buffon celebrate at full-time

No comments