Header Ads

Goli kipa wa Benfica aizawadia goli man u


Share this

Manchester United imeibuka na ushindi mwembamba wa goli 1-0 dhidi ya Benfica baada ya mpira wa faulo uliopigwa na marcus Rashford,hata hivyo goli hilo limeonekana kama  ni uzembe baada ya kushindwa kuutoa na kukubali kuingia nao golini.
Goli hilo lilidumu mpaka mwamuzi alipo puliza filimbi ya mwisho na kuifanya United kuondoka na pointi tatu huku ukiwa mchezo wa tatu mfululizo ambao wamepata katika mashindano ya ligi ya mabingwa.
Mile Svilar carried the set-piece from the left touchline over his own line, having looked uncomfortable all evening
BENFICA (4-3-3): Svilar 5; Douglas 6, Luisao 6.5, Ruben Dias 7, Grimaldo 5; Pizzi 5.5 (Zivkovic 59, 6), Fejsa 6, Filipe Augusto 6; Salvio 6.5 (Cervi 83), Jiminez 6, Gonçalves 6 (Jonas 69, 6)
Unused subs: Julio Cesar, Lopez, Samaris, Jonas, Seferovic
Bookings: Luisao 5, Goncalves 54
Red card: Luisao 90+2
Manager – Rui Vitoria: 5.5
MAN UTD (4-2-3-1): De Gea 6.5; Valencia 6, Lindelof 6, Smalling 6.5, Blind 6.5; Matic 7.5, Herrera 6.5; Mata 6 (Lingard 83), Mkhitarayan 5.5 (McTominay 90+2), Rashford 7 (Martial 76, 6); Lukaku 6
Unused subs: Romero, Darmian, Jones, Young
Goal: Rashford 65
Bookings: Valencia 41, Lingard 90+5
Manager – Jose Mourinho: 6
Referee: Felix Zwayer (Germany) 6
Star man: Nemanja Matic









No comments