Header Ads

Kesi ya Diamond na Mobetto sheria na adhabu zake hizi hapa (Video)


Msanii wa muziki kutoka WCB, Diamond Platnumz hivi karibuni alipelekewa wito wa mahakamani na mzazi mwenzake, Hamisa Mobetto akimshutumu muimbaji huyo kukataa kutoa matumizi kwaajili ya mtoto wao huyo.

Bongo5 imemtafuta mwanasheria Abdallah Shaibu, kutoka Kampuni ya Mawakili, DKM Legal Consultants kuzungumzia sheria inasemaje kwa wazazi ambao hawatoi matunzo kwa watoto wao pamoja na adhabu zake bila kulizungumzia kiundani sakata hilo ambayo lipo mahajamani.

No comments