Tottenham leo wako ugenini kwenye Uwanja wa Satntiago Bernabeu na jana wamefanya mazoezi ya mwisho tayari kuwavaa Real Madrid.
Mechi hiyo ya Ligi ya Mabingwa inasubiriwa kwa hamu kwa kuwa tayari kuna taarifa za Madrid kumtaka mshambulizi nyota wa Spurs, Harry Kane.
Post a Comment