Header Ads

Video 5 za Bongo Flava ‘zinazotrend’ YouTube Zilipendwa ya WCB yakamata namba moja


Kama ilivyokawaida kila Jumatatu tunakuletea chart ya video tano za Bongo Flava ambazo ‘zinatrend’ katika mtandao wa YouTube.
Katika chart ya wiki hii kumekuwa na mabadiriki makubwa ila nafasi mbili za mwanzo bado zinaongozwa na na Diamond/WCB na Alikiba.
1. Diamond, Harmonize, Rich Mavoko, Rayvanny, Queen Darleen – Zilipendwa (katika trending ya Tanzania ni namba 24) wiki iliyopita ilikuwa katika nafasi pili.

2. Alikiba – Seduce Me (katika trending ya Tanzania ni namba 25) wiki iliyopita ilikuwa katika nafasi ya kwanza.

3. Dogo Janja – Ngarenaro (katika trending ya Tanzania ni namba 42) wiki iliyopita ilikuwa nafasi hii.

4. Aslay – Pusha (katika trending ya Tanzania ni namba 49) wiki iliyopita nafasi hii ilishikiliwa na Jux – Utaniua.

5. Jux – Utaniua (katika trending ya Tanzania ni namba 58) wiki iliyopita alikuwa ilikuwa ikishikiliwa na Aslay – Pusha.

No comments