Header Ads

Mke wa John Legend awajia juu wanaondika habari za kidaku


Mke wa John Legend, Chrissy Teigen amewajia juu wanaoandika habari za kidaku kuhusu kuvunjika kwa ndoa yake jambo ambalo limewakuata mastaa kama Brad Pitt na Angelina Jolie, Ben Affleck na Jen Garner, Fergie na Josh Duhamel.
Chrissy ambaye alikuwa akielekwa mjini Los Angles , amedai kuwa mtandao huo umeandika habari ambazo hazina ukweli wowote, na wasitegemee tukio hilo kutokea kwani hawana mpango wa kuachana.
John Legend na Chrissy Teigen waliowana miaka minne iliyopita na wamebahatika kupata mtoto mmoja aitwaye Luna.

No comments