Header Ads

KIKAO CHA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA KUANZA KESHO


Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (katikati).
Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, kinatarajiwa kufanyika kesho Sepetemba 18 mwaka huu chini ya Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Zanzibar Mhe. Dkt Ali Mohamed Shein

No comments