VideoMPYA: Time ya kuenjoy video mpya kutoka kwa Lavalava wa WCB ‘Dede’
Baada ya kupokewa vizuri katika game ya Bongofleva na ngoma yake ya ‘Tuachane’ msanii kutoka WCBLavalava, usiku wa August 14 2017 amerudi tena kwenye headlines baada ya kuachia video ya hit single ya ngoma yake ya ‘Dede’ inayofanya vizuri katika radio stations mbalimbali.
Post a Comment