SIMBA SC WANYAKUA NGAO YA JAMII, WAIPA KIPIGO YANGA
Timu ya Simba imeibuka mshindi kwenye mchezo wa kufungua michuano ya Ligi Kuu Tanzania Bara (Ngao ya Jamii) baada ya kuifunga Yanga SC kwa penati 5-4.
Mchezo huo uliokuwa mkali na wa kusisimua huku kukiwa na upinzani mkubwa baina ya mahasimu hao wa jadi, ulimalizia kwa sare ya bila kufunga ndipo timu zote zikaenda matuta.
Matokeo ya penati yalikuwa hivi;
Wapiga penati Yanga;
Kelvin Yondani (alikosa)
Tshimbi (alipata)
Thaaban Kamusoko (alipata)
Ibrahim Ajib (alipata)
Donald Ngoma (alipata)
Juma Mahadhi (alikosa)
Wapiga penati Simba;
Mwanjale (alipata)
Emmanuel Okwi (alipata)
Haruna Niyonzima (alipata)
Shiza Kichuya(alipata)
Mohamed Hussein ‘Zimbwe Jr’ (alikosa)
Mohammed Ibrahim ‘Mo'(alipata).
PICHA NA MUSA MATEJA | GPL
Post a Comment