Leo ni happy birthday ya mmiliki wa Hamisihemedi.blogspot.com
Mmiliki wa Hamisihemedi.blogspot.com na mtangazaji wa mwambao fm radio iliyopo jijini Tanga leo tarehe 24 August anasherekea siku yake ya kuzaliwa .
Jina lake halisi anafahamika kama Hamisi Bakari mzaliwa wa jijini cha sunya kilichopo wilaya ya kiteto mkoani manyara na alifanikiwa kupata elimu ya msingi katika shule ya msingi sunya na kuhitimu elimu yake ya msingi mwaka 2008. Na kufanikiwa kujiunga na elimu ya sekondari katika shule ya sekondari Dongo iliyopo wilayani kiteto. Baada ya hapo aliweza kufaulu vizuri masomo yake ya sanaa na kufanikiwa kujiunga na chuo cha mtakatifu Joseph kilichopo mkoani morogoro wakati akisomea masuala ya uandishi wa habari na mawasiliano kwa umma na kufanikiwa kuhitimu katika ngazi ya shahada na asta shahada.
Lakini mbali na fani yake ya utangazaji Hamisi ni mzalishaji wa vipindi vya redio pamoja na televisheni. Hivyo kama mdau wa Hamisi Hemedi .blogspot. com unaweza kufurahi nae katika siku yake leo ya kuzaliwa.
Facebook,instagram pamoja na Twitter unaweza kumfollow kupitia Prismatics class.
Post a Comment