Header Ads

Nimeshapata mialiko zaidi ya 60 sijaenda – Rais Magufuli






Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli amesema amepata mialiko zaidi ya 60 hajaenda kwasababu anataka kushughulika na matatizo ya Watanzania.
Rais ameyasema hayo leo alipokuwa akihutubia wakati wa uzinduzi wa mradi wa maji Sengerema.
“Nimeshapata mialiko zaidi ya 60 ila sijaendi, Nikienda huku najua watapiga watanzania wajanja sana. Hizo safari zipo tu, hata nikistaafu nitaenda. Wacha nishughulikie matatizo ya watanzania kwanza,” amesema Rais Magufuli.
Rais Magufuli yupo mkoani Mwanza kwa ziara ya siku mbili.

No comments