Header Ads

Kamati ya uchaguzi ya TFF yawapiga chini wajumbe wenye matatizo






Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (TFF), imewaondoa wajumbe wawili katika kamati hiyo.
Kaimu Katibu Mkuu wa TFF, Salum Madadi
Uamuzi huo umefanywa na Kamati ya Utendaji ya TFF iliyokaa leo baada ya kubaini wajumbe hao wawili walikuwa na matatizo.
Kaimu Katibu Mkuu wa TFF, Salum Madadi amesema wajumbe wawili walioondolewa, mmoja alibainika aliteuliwa kimakosa na mwingine alikiuka maadili.
“Hivyo kamati ya utendaji imeteua wajumbe wawili kuziba nafasi zao,” alisema

No comments