Header Ads

VideoMpya: Dogo Janja & Prezzo 254 wametuletea ‘Hamsa Mia’



 
Staa aliyezishika headlines Bongo kwasasa Dogo Janja ametuletea Video nyingine ambayo wamefanya pamoja na mkali kutoka +254 Kenya Prezzo wimbo unakwenda kwa jina ‘Hamsa Mia’, Producer  ni  Daxo Chalii & Marco Chalii huku video ikiongozwa na Msafiri kwetu studio.

No comments