Header Ads

VideoMPYA: Ni zamu ya Enock Bella wa Yamoto Band leo, katuletea ‘sauda’



Enock ni kichwa kingine ambacho kilikua kinaunda kundi la Yamoto Band ambapo moja ya vitu vilivyompa umaarufu ni sauti yake nzito, leo hii kasimama mwenyewe kutuletea video inaitwa ‘sauda’ na ngoma imetengenezwa WASAFI RECORDS

No comments