Header Ads

MECHI YA MADRID NA MADRID YAMUACHA RAMOS NA JERAHA, NI BAADA YA KUVUNJIKA PUA


Mechi ya washindani wakubwa wa jiji la Madrid nchini Hispania, Atletico Madrid dhidi ya Real Madrid imeisha kwa sare ya bila kufungana.

Lakini sare hiyo imemuacha Sergio Ramos na jeraha baada ya kuvunjika pua.


Beki huyo nguzo ya Madrid, alivunjika pua baada ya kugongana na Lucas Hernandez.

Tayari Ramos ameanza matibabu ya jeraha hilo tokea jana na leo atafanyiwa vipimo kupata uhakika wa nini hasa kilichompata.


No comments