Header Ads

Whatsap mpya imekuja na maunyama mengine sanukia hapa


  • 192
    Shares

Mtandao wa Whatsapp umeachia toleo lake jipya la Whatsapp Business ambalo limekuja na App yake Special, kama unavyoona hapo pichani.
App hiyo itakuwa na uwezo wa kuwaonganisha wateja pamoja na mashabiki zako karibu kwa njia ya kibiashara zaidi.
Toleo hili linaitaji Kwanza uweze kujisajili, kwa kujaza fomu ya Whatsapp, jina la kampuni, namba ya simu pamoja na nchi, bado ya Hapo, Whatsapp watakupatia link ambayo itakufanya uweze kudownload App hiyo kirahisi zaidi, bila kufanya hivyo huwezi kuipata wa kuiona playstore wala kuifungua.
#officialsocialbuzz
Image result for whatsapp business

No comments