Header Ads

Fella atema cheche ‘nimechoshwa na ishu ya nyumba za Yamoto Band (Video)



Meneja wa kituo cha Mkubwa na Wanae Foundation, Mkubwa Fella ambaye alikuwa akiwasimamia wasanii wa Yamoto Band, akiwemo Aslay, Enock Bella, Maromboso pamoja na Beka, amefunguka kwa kusema kuwa amechoshwa na maswali kuhusu nyumba za wasanii hao ambazo alizitangaza kuwajengea na baadaye kuwakabidhi.

No comments