Header Ads

SASHA LARISSA A.K.A (SASHA LEE) KUACHIA NGOMA MPYA LEO




Moja kati ya mwana dada anaekuja kwa kasi zaidi kwenye mziki wa bongo fleva ni huyu hapa ambae anafahamika kama ‘’SASHA LEE’’.
Sasa leo kupiti  mwambao fm radio katika kipindi bora cha burudani cha Bongo bab kubwa  kinachoe endeshwa na lady high 4 real, wille mshana na Dj Dinnah  “SASHA LEE ametambulisha kazi yake mpya inayofahamika kama ‘’LET ME LOVE YOU’’ Ngoma iliyotengenezwa chini ya producer T.Wille wa mahewa records kutokea mji kassoro bahari (MOROGORO).
Mbali na ishu ya kutambulisha ngoma yake SASHA LEE pia amefunguka kuhusiana na suala la kuwa na management “ Kwa sasa sina management lakini lazima nipate uongozi utakao simamia kazi zangu kwa kuwa mpaka sasa tayari kuna management zimeshaleta proposal kwa hiyo mambo yakikaa sawa nitaweza kuwa na management”. Alisema Sasha
Kama utakumbuka ngoma ya kwanza iliyomtambulisha Sasha Lee kwenye mziki wa bongo fleva ni ‘’VALENTINE” ambayo iliweza kufanya vizuri sana.

No comments