Header Ads

Peter wa P-Square ameliamsha dude bila Paul


Baada ya kujitoa kundi la P-Square, Peter(Mr.P) ameachia video yake ya kwanza kama solo artist iitwayo ‘Cool It Down’, video ya wimbo hiyo imetengenezwa na Patrick Elis.
Ngoma hiyo imeachiwa chini ya kampuni yake ya PClassic Record, Kundi la P-Square, lilivunjika kwa sababu ya kutofautiana kibiashara kati ya Peter na Paul.

No comments