Header Ads

KOBE BRYANT ATUA MAZOEZINI PSG, AUNGANA NA NEYMAR, CAVANI NA WACHEZAJI WENGINE


Nyota wa zamani wa timu ya mpira wa kikapu ya LA Lakers, Kobe Bryant ametembelea mazoezi ya PSG mjini Paris.

Gwiji huyo wa mpira wa kikapu kutoka nchini Marekani, alipata nafasi ya kuwatembelea wachezaji kama Neymar, Lucas, Moura, Kylian Mbappe na Edinson Cavani.

Kobe pia alipata nafasi ya kupiga picha na wachezaji wengine waliokuwa mazoezini hapo.





No comments