Header Ads

New Video: Sarkodie ft. Korede Bello – Far Away


Baada ya kuachia ngoma takribani sita kutoka kwenye albamu yake ya ‘Highest’,Sarkodie ameachia tena video yake mpya ya ‘Far Away’ aliyomshirikisgha makali kutoka Mavin Records Korede Bello. Video ya ngoma hiyo imetayarishwa Sesan.

No comments