Header Ads

Mnyama mkali(Baro only me )kutokea Tanga ameachia mzigo mpya

https://my.notjustok.com/track/download/id/277877
Moja kati ya wakali wangap wakalisha Tanga katika anga nzima ya bongo fleva anafahamika Baro only me au Nasso Baro leo hii ametambulisha goma yake mpya inayofahamika kama Ado ado ambayo yuko na mkali mwingne anaitwa Mr Nana lakini mwendelezo wa show nzima itakuwa Jumaa pili kwenye kipindi Bomba Afrika mashariki kinafahamika kama (WEEKEND VIBE) chini ya master Prismatics_class, Baro atazunguamzia mambo mengi sana kuhusiana n.a. mziki wake 

No comments