Header Ads

DYNAAH SPECIAL, Sina mapenzi ya dhati kwa mwanaume yoyote

https://my.notjustok.com/track/download/id/272027
Video Queen na muimbaji wa mziki wa kizazi kipya kutokea bongo flevani dynaah special lakini pia ni mtangazaji wa kituo kimoja cha redio amesema hana mapenzi yoyote kwa mwanaume huku akidai wanaume wengi wamekuwa wadanganyifu sana na hawako real katika mapenzi.
akipiga story na Hamisihemedi.com Dynaah special amesema kuwa anawaona wanaume kama ni watu walioumbwa kwa chembechembe za uongo.
Lakini Dynaah special alipoulizwa kuhusiana na kufanya kazi tatu kwa wakati mmoja yaaan kuimba, Video vixen pamoja na utangazaji kama vitaweza kumuathiri alichokijibu ni kuwa zote anafanya kwa wakati mmoja japo kila kitu amekipangia mda wake.
Dynaah special kwa sasa anafanya vizuri na ngoma yake ya "SASA BASI" iliofanyika chini yamtayarishaji Nasry wa madebeni records wakati huo nyimbo ya kwanza iliomtambulisha kwenye game ni "NIPE NAFASI" chini ya producer Swabry
DOWNLOAD "SASA BASI" HAPO JUU

written by Hamisi Hemedi 

No comments