Header Ads

MESSI HANA MPINZANI KWA KUTIKISA NYAVU ULAYA NA DUNIANI KOTE MSIMU HUU



Tayari Lionel Messi amefunga mabao 45 katika michuano yote akiwa na FC Barcelona katika msimu wa 201718.

Idadi hiyo inamfanya Messi kuwa mchezaji au mshambuliaji aliyefunga mabao mengi zaidi ya wengine wote katika ligi 5 bora barani Ulaya na duniani kote kwa msimu huu.

No comments