Header Ads

MAGAUNI YAMTESA PAM D


Pamela Daffa ‘Pam D’
MSANII wa Bongo Fleva Pamela Daffa ‘Pam D’ amekiri kutamani kuvaa magauni kama wanawake wengine ila bado anapata shida kwa mazoea ya kuvaa nguo za kiume.
Pam D akichonga na Full Shangwe alisema kuwa, anapata wakati mgumu kuanza kuvaa magauni kwa sababu amezoea nguo za kiume ambazo zinamfanya aonekane msela.

“Napata shida kubadilisha mtindo wa mavazi, kutoka kwenye nguo za kisela na kuvaa magauni kama wanawake wengine ila naamini nitazoea tu,”alisema Pam D.

No comments