Header Ads

Bodak yellow ya carid B yaweka record Bill board


Share this
  • 8
    Shares

Baada ya kuvunja rekodi ya kuwa mwanamke wapili kuingiza nyimbo yake katika top 100 za billboard na kuweza kushika namba moja sasa Cardi B ameweka rekodi nyingine hii ni baada ya ngoma yake ya Bodak Yellow kuweza kuendelea kushika namba moja katika chart za Billboard kwa wiki ya pili sasa.
Cardi B
Kupitia ukurasa wake wa Instagram rapper huyo ambaye kwa sasa anafanya vizuri hata kukaribia kuwafunika wakongwe kama Nick minaj,Remy Ma amewashukuru kwa kuandika maneno haya“THANNNKKKK YOUUUU!!!!!! Everyyyyybodyyy .Im giving all my followers a Dollar…SIKEEEEEE!!!!…ain’t got money like that yet.”
Image result for rapper cardi b
Female Rapper huyo bado yupo kwenye mpango wa kuachia Album yake lakini baadhi ya wasanii wamemwambia asiwe na haraka kwa maana kwa sasa game nzima ni yake kwakuwa baadhi ya wasanii wakike wanao rap wapo kimya sana,Mmoja ya wasanii waliompa ushauri huo ni J cole.
Image result for rapper cardi b and j cole
Hizi ndio Chart za Billboard mpaka sasa
Billboard Hot 100 Top 10
1. Cardi B – “Bodak Yellow (Money Moves)”
2. Post Malone feat. 21 Savage – “rockstar”
3. Taylor Swift – “Look What You Made Me Do”
4. Logic feat. Alessia Cara & Khalid – “1-800-273-8255”
5. Luis Fonsi & Daddy Yankee feat. Justin Bieber – “Despacito”
6. French Montana feat. Swae Lee – “Unforgettable”
7. Portugal. The Man – “Feel It Still”
8. Imagine Dragons – “Believer”
9. Yo Gotti feat. Nicki Minaj – “Rake It Up”
10. Demi Lovato – “Sorry Not Sorry”

No comments