Header Ads

BEKI MADRID AGUNDULIKA NA TATIZO LA MOYO, AONDOLEWA KIKOSINI, NJE WIKI SITA




Ukisema ni taarifa za kushitua hautakuwa umekosea kama ambavyo beki wa kulia wa Real Madrid, Dani Carvajal alivyoshituka.

Ametakiwa kuwa nje ya uwanja kwa wiki sita baada ya kugundulika ana tatizo tatizo la moyo.



Hali hiyo ilisababisha Carvajal kuondolewa katika kikosi cha Madrid dhidi ya Espanyol leo.


Taarifa zimeeleza beki huyo mwenye miaka 25 ameonyesha kushitushwa na hali hiyo lakini ametakiwa kuwa mtulivu na kuwaamini madaktari wakati wanalishughulikia tatizo lake.

No comments