Header Ads

50 CENT AWEKA WAZI SABABU ZA KUTOFANYA MUZIKI KWA SASA,NA INSHU YA KUKATAA FEDHA ZA TRUMP


Share this
  • 0
    Shares

Kwa hatua ambayo anayo sasa hivi 50 Cent, ukimwita rapper Utakuwa unamkosesha ujazo wake kutokana na kwamba mshikaji sasa amelekeza nguvu zake nyingi katika maswala ya uandaaji wa filamu
Image result for 50 cent in ebro inthe morning
50 cent amesema kwa sasa amehamishia nguvu katika uandaaji wa filamu ameyasema hayo akiwa na Ebro katika show yake ya Asubuhi ndani ya Hot 97, 50 Cent ametusanua mengine ambayo wengi wao walikuwa awafahamu ni kwamba alipiga chini ya ofa ya Dola laki 5 za Kimarekani kutoka kwa Raisi wa sasa wa Marekani Donald Trump.
Image result for 50 cent and donald trump
Akiongea na Ebro in The Morning, Muigizaji na Producer wa filamu ya Power “50 CENT” alisema kwamba Donald Trump alimfa ofa ya mtonyo wa dola za Kimarekani laki 5 kwa ajili ya kumsaidia kwenye kampeni yake ya Urais, 50 aliendelea kuongeza kwamba sio tu kampeni ila ilikuwa ni kuwashawishi Wamarekani Weusi kwenda kumpigia kura Donald Trump, 50 akawachomolea kwa kusema hiyo pesa sio nzuri na wala haina thamani ya jambo hilo.
Image result for 50 cent in ebro inthe morning

No comments