Header Ads

Petit Man afunguka ishu ya kutoka kimapenzi na Mobetto (Video)


Memeja wa County Boy, Billnass pamoja na wasanii wengine wa label ya LFLG, Petit Man amefunguka kwa kudai picha zilizosambaa mitandaoni zikimuonyesha akiwa na Hamisa Mobetto ni picha zake za zamani sana huku akidai picha hizo zilisambazwa kwa lengo baya. Petit ambaye amemuoa mdogo wake Diamond, Esma na kufanikiwa kupata mtoto mmoja, wamerudiana hivi karibuni na baada ya wawili hao kutengana kwa muda.

No comments