Header Ads

MASHABIKI WAGOMBANIA TIKETI ZA YANGA, MAJIMAJI SONGEA


Mashabiki wakiwa kwenye foleni wakielekea kununua tiketi za mchezo wa Majimaji na Yanga katika Uwanja wa Majimaji Songea.
Muonekano wa mashabiki wakiwa nje ya Uwanja wa Majimaji.
Muonekano wa tiketi ya mchezo wa Majimaji dhidi ya Yanga.
MASHABIKI wa soka mjini Songea wameendelea kununua tiketi za mchezo wa Majimaji na Yanga utakaopigwa jioni ya leo katika Uwanja wa Majimaji mjini Songea.  Mashabiki hao hususan wa Majimaji wameuambia mtandao huu kwamba timu yao itaibuka na ushindi dhidi ya  Yanga.
Mchezo huo umeibua hisia za hali ya juu kwani umekuwa ukisubiriwa kwa hamu na wapenda soka.

No comments