KWA HAYA ALIYO YASEMA ASLAY TARAJIA REMIX YA ‘WASIKUDANGANYE’ YA NANDY
Msanii huyo ameweka wazi kuwa nyimbo ambayo anaikuabali na angetamani ingekuwa yake ni nyimbo ya mwanadada #nandy ambae anafanya vizuri kwasasa na nyimbo yake ya #wasikudanganye,sasa msanii huyo amesema angetamani kufanya remix au kufanya cover ya nyimbo hiyo na yupo mbioni kuongea na Nandy katika hilo
Shusha comment yako hapa je Aslay atatisha akifanya cover au remix ya nyimbo ya Nandy wasikudanganye


Post a Comment