KANYE WEST ATAJA KIASI CHA FEDHA ATAKACHO MLIPA MLEZI WA MTOTO WAKE WA TATU
Wakiwa wanasubiri kwa hamu ujio wa mtoto wao watatu Kanye West na mpenzi wake Kim Kardashian wameonekana wakiwa kwenye mtoko wa usiku ambapo walikuwa walienda kwenye show private iliyo andaliwa na Dave Chappelle’s huko West Hollywood hotspot katika klabu ya Peppermint.
Post a Comment