Esha Akiwa Na Mtoto Wake Wa Kwanza Anayeitwa Clarrisa
Diva anayebamba vilivyo kwenye tasnia ya Bongo MuviEsha Buheti ambaye ni mama wa watoto wawili, Clarrisa na Crilbell, ametoa povu la kimataifa, kwa wale wote wenye tabia ya kumpangia jinsi ya kuishi na watoto wake.
“Inavyoonekana Esha kuna watu wanamchokonoa kuhusu watoto wake, maana huyu dada siyo mtu wa kuchamba, sasa sijui imekuwaje tena,” ilisomeka sehemu ya comments kwenye posti yake hiyo katika ukurasa wake wa Instagram.
Mtoto Wake Wa Pili Cribell Aliyejifungua Hivi Karibuni
NA ISRI MOHAMED/