RONALDO ASIMAMISHWA MECHI TANO KWA KUMSUKUMA MWAMUZI
Cristiano Ronaldo amesimamishwa kucheza mechi tano katakana na kitendo cha kumsukuma mwamuzi katika mechi ya Spanish Super Cup dhidi ya Barcelona.
Ronaldo alimsukuma mwamuzi Ricardo de Burgos Bergoetxea mara baada ya kumlamba kadi ya pili ya nano iliyozaa nyekundu.
Kama haitoshi, Ronaldo amepigwa faini ya pauni 2,700 katakana na kitendo hicho.
Post a Comment