Header Ads

PAULINHO ATAMBULISHWA RASMI BARCELONA, APEWA JEZI NAMBA 15


Paulinho ametambulishwa rasmi katika kikosi cha Barcelona.

Rais huyo wa Brazil amesajiliwa kwa kitita cha pauni million 36.5 akitokea Guangzhou Evergrande ya China.

Paulinho alikabidhiwa jezi namba 15 nba rasmi akatambulishwa kwa mashabiki huku akicheza na watoto.


No comments