Header Ads

MTANDAO WA ELIMU TANZANIA WAHITIMISHA KUTOA MAFUNZO KWA WADAU WA ASASI ZA ELIMU KWA MIKOA SITA MORO.

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhDNwTdNl6iHm8hyphenhyphen7Y0kTdnVlk4UYNvPtOi_HzNuA_Cgtpux6Qb8n9Qs9QL0ChbFnNNm7Zj3sQfuZi7Gk6ipq7nD0a7ijIdY0pfHooIh1__HyuLvbDkhV6bJachhHUkhyTr47EjHWOc3Q0/s640/DSC_0218.JPG

Afisa miradi ya elimu kwa masharika yasiyo ya kiserikali ubalozi wa Sweden nchini, Stephen Chimalo akizungumza jambo wakati wa mafunzo ya ufuatiliaji hatua ya chini ya uandaaji wa bajeti na ufuatiliaji wa matumizi ya fedha katika sekta ya elimu kwa kutumia mfumo wa PETS kwa wadau kutoka asasi za elimu kwa mikoa ya Tanga, Tabora, Dodoma, Singida, Dar es Salaam na wenyeji Morogoro iliyoandaliwa na Mtandao wa Elimu Tanzania


https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg2HhakgjRnbFnB9qKMMt5O4vLd1g6NTk6e6nhDcI00ckulHB3sV71cO9e4ggs6gduvo82bo5ApwH4io-vD6AvamznPz2MM975rGs2sKfLWpGXNEdny3MaPFPoC1CDgUqy3HuxDiQcmXhI/s640/DSC_0134.JPGAfisa miradi wa Mtandao wa Elimu Tanzania (Ten/Met), Alistidia Kamugisha akizungumza jambo katika mafunzo hayo yaliyofanyika kwa siku tatu hoteli ya Flomi mkoani Morogoro


https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhH72-C0RnBewQ0kPGPM2Tp0YLOjEwbJErQLriHhAHg9BGTRITs9B2mXVmjvS76o9AAQQ3UY1gx6PSCXWAc_kXYypHQc-y409ebFzJzw_VX-gvw88pAoViVKduaQO-J98k4TovQzYv54Ro/s640/DSC_0139.JPGMtaalamu wa masuala ya IT Mtandao wa elimu Tanzania, Dominic Dogani akifafanua jambo kwa wadau wa mafunzo hayo wakati wa kujadili mada kupitia vikundi.

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjdzhvWumyivxBApuS623Lvjy2x9C_PhvXh20VFiJAk9o0zTsGbLJth6Att3zs-f7ENDs17e1YJxt1DoT-AgEmanrt0Vz0q5yqi1TxN2cilBUsinN_U8ahnhm5l8Ith8Ot4_O8sOMffoyA/s640/DSC_0141.JPGMwanaidi Juma (Katikati) kutoka shirika la Morogoro Saving The Poor Organization (Mosaporg) akiwa na wadau wenzake wa elimu wakati wakiwajibika katika majukumu ya kujifunza mafunzo hayo


https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhTse3S0sDdwpLCmM6grTq9I_6YDCL4f2U2VuQcdXGMqbas_o_EfYfmjLGzw4Wh1IT5Fc15hN-C5sJCMIJNTMyotsIRUxfoXIbmIc2WLZDjE5V5Qb9Ve0nQfcSbqwYYRoVl4lCgkot0Lgc/s640/DSC_0144.JPGMratibu wa shirika la Youth Movement For Change (YMC) la mkoani Singida, Fidelis Yonde kushoto akijadiliana jambo na washiriki wa mafunzo hayo



https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh6MabWtEeW82h8iSSC6bftf1-oQPgq_8-6CHLpU8vmsifkp1TBCb2VjhTQ5fHswB1qni64PiENXAhkFrz4khCS4bzEufnyv_XjwXrbgm365T6iZL-dDDSQHLj2d5TqsYfKOVCkcFo_TSI/s640/DSC_0154.JPGMkufunzi wa masuala ya elimu, Zelote Loilang'akaki akitoa mafunzo kwa wadau wa asasi za elimu yaliyoandaliwa na Mtandao wa Elimu Tanzania (Ten/Met) ya namna ya kufuatilia hatua ya chini ya uandaaji wa bajeti na ufuatiliaji wa matumizi ya fedha katika sekta ya elimu kwa kutumia mfumo wa PETS kwa mikoa ya Tanga, Tabora, Dodoma, Singida, Dar es Salaam na wenyeji Morogoro iliyoandaliwa na Mtandao wa Elimu Tanzania (Ten/Met)



https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgY37OTvqnHBAgSjHCP539cEyDdMKKmdaDTsSnfAV8e6GM5JI_ItAwEHu7V0G0k9jzubgH7l3izdiCQvpy-WywByswCMCQzXI2OK8N_3PPzva2k-RWgyNjqD0-VCu8K1gtH6IhqQIkwWXI/s640/DSC_0196.JPG



https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEix5nmErJ6A7pIt_FlbBuHor6_LT7okjDHxbBN26dyiLwWFh-wqCx9602DzqIGOB2v2Far8caxiDyhdfA1rxMogSkCq_pF4Ze0LYGR30dJ4Ef5ulRHWYTZ6m1_gjLoa_LVuiNCvt1UNSmY/s640/DSC_0156.JPGMratibu wa shirika la Youth Movement For Change (YMC) la
mkoani Singida, Fidelis Yonde akielezea jambo kuhusu masuala ya changamoto cha elimu ya Tanzania



https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgnd7L_DRfgjyNTUYqxKRlgsKhisbtT4jLxv9HWN3-e_ccHhyphenhyphenyalhetgHqW6NLA9hY-HkfdaskKs7NZUQDV5yN9GD4HUhq9z8uRcBvsOJy9PRZNWG1v64ci7d_bns_W957l6Z2IvNFnxd8/s640/DSC_0162.JPGMkurugenzi Mtendaji Fair Education & Information Centre (Fadice) kutoka mkoa wa Tabora Tabora, Philimon Boyo akifafanua jambo


https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiJAMA2UivmvWxMhz4pIIWwvLnsasJSdF_PQAlVvsZNC70vb0aP0QbIIbKNZG9ejmWQKwzDAL9RQ6UnY0G4Q5X4v2t4mAJFniACmB8jadQ1wlAW2PvUb47gwV88daknwdtGtH6jFkmrX8k/s640/DSC_0238.JPGwadau kutoka asasi za elimu kwa mikoa ya Tanga, Tabora, Dodoma, Singida, Dar es Salaam na wenyeji
Morogoro wakifutilia mafunzo ya ufuatiliaji hatua ya chini ya uandaaji wa bajeti na ufuatiliaji wa matumizi ya fedha katika sekta ya elimu kwa kutumia mfumo wa PETS yaliyoandaliwa na Mtandao wa Elimu Tanzania




 https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiBDqHVFBqYP5edEOubNfi6Mw9A6L4I7A3N50fCQrvU8a_As6h13Uam6HbN0yBZNBSQa4qVvUh7Kp5VhtHWvOvHciyNzhZr1jMKRctH8J6c6Hi4Y4I5TKUAatBmGIVNX9PJxF17XhOVDRE/s640/DSC_0250.JPGKiongozi wa shirika la Tabora Advocacy Centre For Development (Tacede), Pai Nyanzandoba akiwalisha mada baada ya washiriki wa mafunzo hayo kujadiliana kwenye vikundi katika siku yao ya tatu ya mafunzo hayo yaliyofanyika mkoani Morogoro.



https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiEtSn2SvCuACi0bLsDYk_pZt7eQodCc-oarJ4zCCUTkHmzZr3XkMbLSwXSxJAffGyNsewL0qY26G_ptfmNeUCbqWih5t1oNOz_P-K6PwJEq1T1xwjpPbLYm5UGqrYnI8eV71u687wJOcg/s640/DSC_0255.JPGGodbless Nkungu kutoka shirika la Youth Life Relief Foundation (YLRF) Tabora naye akiwalisha mada mara baada ya washiriki wa mafunzo hayo kujadiliana kupitia vikundi



https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiDRa4-89kXX4ApyTMTEpo4DOCh87HT1PSGzU_tJeOMqiL7uTq86Ne-qyfQMPEt4EuNi1q7TLDziEqs66Eyb15bAUbdTzDMP7uuUkFS8FkK_1xr4HCtBkOC3EK3Y9GFxGcHytoxJkgSICg/s640/DSC_0257.JPGNaye Mkurugenzi Mtendaji Fair Education & Information Centre (Fadice) akiwasilisha mada kupitia kundi lake wakati wa mafunzo hayo.


https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEje_6dIv2zlkVk3NMBNku4L2BgPWHts7VFgqfq6yMEwmHgVC19eWIaTITZANhyNe3F320mVc57i8CfyxlhUMFQswJTvOnSo-180mm9tiAb2YFxYUJVYoA5pqvSY8OzV4bpqCNEZFbAtFsA/s640/DSC_0227.JPGAfisa miradi ya elimu kwa masharika yasiyo ya kiserikali ubalozi wa Sweden nchini, Stephen Chimalo wa pili kutoka (kulia mstari wa mbele waliokaa) akiwa katika picha ya pamoja na wadau kutoka asasi za elimu kwa mikoa ya Tanga, Tabora, Dodoma, Singida, Dar es Salaam na wenyeji Morogoro mara baada ya kumalizika kwa mafunzohayo ya ufuatiliaji hatua ya chini ya uandaaji wa bajeti na ufuatiliaji wa matumizi ya fedha katika sekta ya elimu kwa kutumia mfumo wa PETS kwa  iliyoandaliwa na Mtandao wa Elimu Tanzania (Ten/Met).

No comments