Header Ads

Mchezo wa Yanga na Singida warudishwa nyuma (Picha)



Mabingwa wa kihistoria wa Ligi Kuu Tanzania Bara klabu ya Yanga imetoa taarifa ya kurudishwa nyuma kwa mchezo wao wa kirafiki dhidi ya Singida United.
Yanga ambayo inatarajia kujitupa uwanjani kuwakaribisha Singida United ambao ni wageni katika ligi kuu baada ya kupata nafasi ya kupanda daraja inatarajia kucheza mchezo wa kirafi Agosti 5 badala ya Agosti 6 kama ilivyoelezwa hapo hawali.
Picha za wachezaji wa Yanga wakiwa mazoezini katika kambi yao huko Morogoro
Wachezaji wa Yanga wakiwa mazoezini katika kambi yao huko Morogoro
Mchezaji, Raphael daud akiwa katika mazoezi
Mchezaji, Thabani Kamusoko mazoezini akiwa na kocha Mkuu wa Timu hiyo
Mchezaji Ibraim Ajib akiwa katika mazoezi

No comments