Header Ads

Makamua ataja sababu ya ukimya wake


Baada ya kutoa ahadi ya kurudi katika muziki wa RnB, mkali Makamua ataja sababu za yeye kuchelewa kutekeleza ahadi hiyo.
Akiongea na Hamisihemedi.com Makamua amesema ni kweli alitoa ahadi ya kutoa ngoma mpya kama ilivyo kwa Josline ila kutokana na menejement aliyopo sasa amechelelewa kufanya hivyo.
” Yes ni kweli  nilikuwa nimetoa ahadi kwa maana mipango ilikuwa inaendelalea, still mambo yanaendelea pale pale Mj Records, na bado tunaendelea kufanya art works, nadhani tu menejementi ilikuwa inachelewa coz  ila kwa sasa tupo under Marco Chali kwa hiyo tunasubiria, ila tupo hatua za mwisho kwa maana kinachofanyika ni kutafuta watu wa ku-investment tu,kwenye video na  uwekezaji kwenye promation” amesema Makamua.

No comments