Header Ads

BREAKING NEWS: RAIS WA MISRI, EL SISI AWASILI NCHINI, APOKELEWA NA JPM



IKULU: Rais wa Misri, Abdel Fattah El-Sisi amewasili hapa nchini kwa ziara ya kikazi ya siku mbili na kupokelewa na mwenyeji wake, Rais Dkt. John Magufuli katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.

No comments