Header Ads

Video: Bonge La Nyau Ft. Baraka Da Prince – Homa Ya Mapenzi

Msanii wa Muziki wa bongo fleva, Bonge la Nyau ameachia video mpya wimbo unaitwa ‘Homa Ya Mapenzi’, amemshirikisha Baraka Da Prince, video imeongozwa na kampuni ya Kwetu Studio.

No comments