Header Ads

SIO Siri Tena Hamisa Mobeto Aweka Wazi Ujauzito Wake ni wa Diamond Platnumz


 
Stori ambayo imekuwa ikitrend kwenye mitandao mbalimbali ni kuhusu Mwanamitindo wa Bongo Hamisa Mobetto kudaiwa kutoka kimapenzi na Mwimbaji wa Bongofleva Diamond Platnumz huku pia ikielezwa kuwa na ujauzito wa staa huyo lakini Hamisa Mobetto ameamua kuuweka hadharani ukweli kuhusu ujauzito huo.
Kupitia Instagram yake  July 3, 2017 Hamisa amepost picha mbili tofauti ambapo akiandika kwenye
 picha ya kwanza “Mamaa, Angalizo Ushauri peleka angaza.” Na picha ya pili akaandika: “Mama Daa…. Mama Dee….. Mama Diii…..  Mama Doo… Mama Duu….”

No comments