Picha: Mkali wa The Playlist kusepa?
Mtangazaji wa kipindi cha The Playlist cha Times FM, Omary Tambwe a.k.a Lil Ommy ameweka bayana kuwa ifikapo siku ya kesho ndio mwisho wa kipindi hicho kuruka katika radio hiyo.

Kupitia mtandao wa Instagram mtangazaji huyo ameandika “Jumamosi hii ndo Show yangu ya mwisho kufanya ya THE PLAY
Hizi ni baadhi ya picha za mstar wa bongo waliopita katika show yake.






Post a Comment