Muuza ‘madawa ya kulevya’ atiwa nguvuni
Polisi nchini Brazil inamshikilia
mlanguzi wa madawa ya kulevya maarufu Barani Amerika ya Kusini, Luiz
Carlos da Rocha ambaye alifanyiwa upasuaji ili kukwepa kukamatwa kwa
takribani miaka 30.
Luiz Carlos da Rocha ambaye pia anafahamika kama “White Head”
anaaminika kuongoza genge kubwa la madawa ya kulevya barani America
Kusini.
Luiz Carlos da Rocha
Rocha alikamatwa eno la Sorriso katika jimo la magharibu la Mato Grosson siku ya Jumamosi.
Polisi walilinganisha picha zake za zamani za Rocha na za mshukiwa mpya na kusema kuwa Luiz Carlos da Rocha na Vitor Luiz ni mtu mmoja.
Kwa mujibu wa Sheria za nchi ya Brazil Rocha huenda akahukumiwa miaka 50 jela.
Post a Comment