VIDEOMpya: Quick Rocka na OMG wanayo hii video nyingine kwaajili yako “Watasema”
Baada
ya crew ya OMG kufanya poa na video yao “Uongo na Umbea” hapa
wamekutana tena na boss wao, Quick Rocka mmiliki wa studio za Switch
Records ambazo OMG wamesaini kufanya kazi chini ya lebel hiyo. Leo
wameachia video yao mpya “Watasema” ambayo kuna sehemu wamesample wimbo
wa TID “Watasema Sana”.
Nimekuwekea hapa chini bonyeza play kuitazama.
Post a Comment