Header Ads

Vanessa Mdee athibitisha kuachana na Jux ( +Video)


Msanii wa Bongo Fleva, Vanessa Mdee amethibitisha kuachana na mpenzi wake Jux.
Vanessa amethibitisha hilo kupitia Interview yake aliyofanya na kituo cha redio nchini Nigeria cha Soundcity Radio. Muimbaji huyo amebainisha kuwa kwa sasa kila mtu anaendelea na maisha yake.
“Ahh mie na yeye tulikuwa ila sio tena na kila mtu ame-move on na maisha yake,” ameeleza Vanessa. Hata hivyo mrembo huyo hajaeleza chanzo cha wao kutengana.


No comments