Header Ads

Tiwa Savage apumua baada ya ‘Fire’ kutoka


Tiwa Savage ameonyesha kufurahia baada ya kukamilisha ngoma mpya aya ‘Fire’ aliyoshirikishwa na Diamond Platnumz.
Muimbaji huyo wa Nigeria amefunguka kupitia mtandao wa Instagram, kuwa mipango ya kolabo yao ilianzia nchini Ghana mwaka 2014 wakati walipokutana katika mipango ya project za bara la Afrika. Kupitia mtandao huo Tiwa ameandika.
2014 on the set of the Africa rising project in Ghana @diamondplatnumz and I talked about doing a collaboration and somehow it has taken 3 years but I am so excited that we finally made it happen. The result is another MASSIVE African record. No wonder the title of the record is #FIRE because it has started catching FIRE across the continent

No comments